“Tuna nyumba zaidi ya 1500 zilizounganishwa na gesi asilia”

  • | BBC Swahili
    823 views
    Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati Nchini Tanzania, Bw. Dotto Biteko amesema kuwa nyumba 1000 zitaunganishwa na gesi asilia Tayari nyumba nyingine 1500 ziliunganishwa na mpango huo. Amebanisha hayo katika mahojiano maalumu na mwandishi wa BBC Florian Kaijage. Kwa urefu zaidi wa mahojiano haya tafadhali tembelea ukurasa wetu wa YouTube pamoja na vipindi vyetu vya redio na televisheni. #bbcswahili #nishati #gesi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw