Tunaangazia manufaa ya ng’ombe aina ya Sahiwal

  • | Citizen TV
    280 views

    Sekta ya mifugo humu nchini inashuhudia mabadiliko makubwa huku wafugaji wakitafuta mifugo wanaostahimili hali ngumu za mazingira na kuboresha uzalishaji