Tunaangazia tatizo la Chunusi kwenye makala ya afya

  • | Citizen TV
    153 views

    Tukieugukia makala yetu ya kila alhamisi ya Siha na maumbile, Rachael Mwema, mtaalamu wa Ngozi kutoka kituo cha Matibabu cha equity Afia Matuu anatujuza mengi kuhusu tatizo la chunusi