'Tunakufa kwa njaa na hakuna chakula au maji yaliyobakia Gaza, kuna njaa...'
Wapalestina walikimbilia kupata magunia ya unga Jumatatu (Februari 19) kutoka kituo cha kugawa chakula kinacho endeshwa na Umoja wa Mataifa katika mji ulioangamizwa wa Gaza.
“Tunakufa kwa njaa na hakuna chakula au maji yaliyobakia Gaza, kuna njaa,” alisema Abdullah Sawaf.
Shambulizi la anga na ardhini linalofanywa na Israel limeharibu sehemu kubwa ya Ukanda wa Gaza na kuwalazimisha karibu wakaazi wote kukimbia makazi yao.
Vita vilivyoanzishwa na shambulizi la Hamas huko Kusini mwa Israel Oktoba 7 ambapo watu 1,200 waliuawa na wengine 253 kutekwa, kulingana na Israel.
Ikiapa kuitokomeza Hamas, Israel imejibu mashambulizi hayo kwa mashambulizi ya anga na ardhini ambayo kwa mujibu wa hesabu za Gaza imeuwa zaidi ya Wapalestina 29,000 na kujeruhi zaidi ya watu 69,000. Vita hiyo imewakosesha makazi watu wa eneo hilo finyu milioni 2.3 na kuligeuza eneo kuwa kifusi. - Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran
18 Oct 2024
- Malala, the former UDA Sec Gen was himself removed after being accused of being a Gachagua man.
18 Oct 2024
- This came after the Senate's resolution to impeach the former deputy president.
17 Oct 2024
- Gachagua was formally impeached after a majority of Senators voted in favour of the motion.
18 Oct 2024
- TikTok and Facebook approved advertisements containing blatant US election falsehoods just weeks ahead of the vote, a watchdog investigation revealed Thursday, calling into question the tech platforms' policies to detect harmful disinformation.
18 Oct 2024
- Senate Speaker Amason Kingi has gazetted the impeachment of Deputy President Rigathi Gachagua, consequently formalizing the removal of the country's second in command from office
18 Oct 2024
- Ukrainian President Volodymyr Zelensky said Thursday he had intelligence reports that North Korea was training 10,000 soldiers to support Russia in its fight against Kyiv.
18 Oct 2024
- After a career in the shadows, spent in Israeli prisons and the internal security apparatus of Hamas, Yahya Sinwar emerged as the leader of the Palestinian group after helping ignite a full-blown war that has engulfed the region.
18 Oct 2024
- Relief for TSC boss as High Court throws out corruption petition
18 Oct 2024
- Inaugural KPSEA, KCSE exams to start as schools close for holiday
18 Oct 2024
- Musalia Mudavadi: A second shot at the deputy presidency?
18 Oct 2024
- Gachagua's tribulations can be traced back to the Constitution
18 Oct 2024
- Fifty-three out of 66 senators endorsed the first charge related to Gachaguas controversial shareholding remarks.
18 Oct 2024
- Children as young as 10 can soon be jailed once again in Australia's Northern Territory (NT), after the government there lowered the age of criminal responsibility. Australian states and territories have been under pressure to raise it, from 10 to 14,…