"Tunasisitiza watu waache kuvuta sigara"

  • | BBC Swahili
    112 views
    Kila Septemba 29, dunia huadhimisha siku ya Moyo Duniani. - Takwimu za wizara ya afya nchini Tanzania za mwaka 2023, zinaonesha kuwa kuna ongezeko la asilimia 9.4 za magonjwa ya Moyo na Shinikizo la Juu la damu. Mwandishi wa BBC @mubalileonard amezungumza na Daktari Peter Kisenge mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete nchini Tanzania kufahamu sababu haswa ni nini? 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw