'Tunazaliana mno' - Rais wa Tanzania

  • | BBC Swahili
    3,279 views
    "Idadi ya watu inakua kwa haraka mno, tunazaliana wengi mno, mahitaji ni makubwa mno ndio maana kila tunavyozalisha, kila tunavyoajiri bado watumishi hawatoshi" - Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu katika kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. #bbcswahili #tanzania #samiasuluhuhassan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw