Turkana pamoja na mashirika ya APaD na safer world yazindua soko jipya la mifugo la Loya

  • | Citizen TV
    96 views

    Kama njia mojawepo ya kuimarisha amani miongoni mwa jamii hasimu ya Pokot, Turkana na Karamoja wa Uganda, Serikali ya kaunti ya Turkana pamoja na mashirika ya APaD na safer world,yamezindua soko jipya la mifugo la Loya. wafugaji wa Kenya na Uganda watalitumia kunadi wanyama wao wakitaka wafugaji kutumia fursa hiyo kufanya biashara halali. Cheboit Emmanuel ametuandalia taarifa hii akiwa Loya mpakani mwa Kenya na Uganda.