Uajiri wa makurutu utakuza utendakazi wa polisi, hasa haki za kibinadamu

  • | NTV Video
    329 views

    Uajiri wa makurutu kujiunga na idara ya polisi baadaye mwaka huu, utashudia kuajiriwa kwa maafisa makadeti, swala linalotarajiwa kuimarisha utendakazi wa huduma hiyo haswa katika masuala ya haki za kibinadamu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya