| Ubinafsishaji wa mashirika ya serikali wazua hisia tofauti

  • | VOA Swahili
    533 views
    Ubinafsishaji wa mashirika yaliyo chini ya serikali kuwa mikononi mwa watu binafsi kwa lengo la kuleta maslahi kwa taifa na kuwavutia wawekezaji zaidi. Mpango huu unazivutia serikali za Afrika Mashariki. Lakini umeonyesha kasoro katika kanda ya Afrika Mashariki. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.