Ubishi wa Ardhi

  • | Citizen TV
    98 views

    Mahakama ya Ardhi mjini Kitale, imetoa amri ya kuwaondoa mara moja watu wote walioko kinyume na sheria kwenye ardhi ya ekari 200 katika eneo la Lounon, Kaunti ya Pokot Magharibi.