Skip to main content
Skip to main content

Ubomoaji Makongeni waanza rasmi, wakazi walia kukosa Fidia

  • | Citizen TV
    1,820 views
    Duration: 2:54
    Shughuli ya ubomoaji katika mtaa wa makongeni hapa nairobi umeanza rasmi leo huku wakaazi wakiendelea kuondoka eneo hilo. Hata hivyo, baadhi ya wakazi wanalalamika kuwa bado hawajapata fidia ya laki moja unusu waliyokuwa wakipewa. Serikali inapania kuendesha mradi wa nyumba katika eneo hili la ardhi ya ekari 139.