Uchaguzi Chadema: 'Asili yangu mimi siwezi kumtweza mtu yeyote'

  • | BBC Swahili
    4,122 views
    Mwenyekiti wa Chadema anayetetea kiti hicho Freeman Mbowe ameieleza BBC anajisikiaje juu ya mshindani wake wa karibu Tundu Lissu kufuatia kubadilishana kwa maneno makali na shutuma mbalimbali kutoka pande zote mbili za wagombea wa nafasi hiyo ya juu kabisa ya chama hicho. Katika mahojiano maalum na BBC Mbowe ameeleza nini kinachoweza kutokea pale atakapokutana na Lissu. Unaweza kutazama mahojiano haya kwa urefu zaidi kupitia ukurasa wa YouTube ya BBCSwahili ✍️: sammyawami 🎥: @eagansalla_gifted_sounds @frankmavura na @mtenganicholaus #bbcswahili #chadema #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw