- 2,280 viewsJARIDA LA WIKIENDI: Linaangazia siasa za Marekani kelekea siku ya uchaguzi mkuu ambapo Wamarekani watafanya maamuzi kumchagua atakayeongoza White Houuse. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Uchaguzi Marekani: Ukusanyaji maoni waonyesha ni vigumu kumtabiri mshindi
- 21 Nov 2024 - United Nations Human Rights Chief Volker Turk has called for Uganda to refrain from prosecuting civilians in military courts, citing that it contravenes the international human rights law.
- 21 Nov 2024 - President William Ruto has rebranded the Social Health Insurance Fund (SHIF) to Taifa Care; underscoring its fundamental role in providing Universal Health Coverage (UHC) to all Kenyans.
- » Ksh.3.7 billion to be disbursed tomorrow to pay 'historical debts' owed to medical facilities- President Ruto21 Nov 2024 - The government has reiterated its commitment to settle accrued debts incurred by the defunct National Health Insurance Fund (NHIF) through the new Social Health Authority.
- 21 Nov 2024 - Treasury CS John Mbadi has expressed confidence in President William Ruto's decision to cancel the proposals by Adani in the energy and aviation sectors; citing that the deals were still in the early stages.
- - President Ruto: I will not justify or excuse illegal arrests
- 21 Nov 2024 - Kenya Broadcasting Corporation (KBC) Managing Director, Agnes Kalekye, has urged staff at the KBC regional Sauti House Office in Mombasa to explore innovative ways to generate revenue to support its operations. During a familiarization tour of Sauti…
- 21 Nov 2024 - Facing potential jail time for contempt of court, Kibet is accused of neglecting his two children.
- 21 Nov 2024 - President Ruto on Thursday announced ongoing deals proposed by the Adani Group were off.
- 21 Nov 2024 - President William Ruto has directed the Ministries of Transport and Energy to cancel the ongoing deals proposed by the Adani Group to takeover the country's infrastructure across the energy and aviation sector.
- 21 Nov 2024 - President Ruto has cancelled the controversial Adani Groups deal to take over Kenyas energy and aviation sectors, directing the Ministries of Transport and Energy to seek alternative partners.