Uchaguzi nchini Kenya waendelea kuonekana kuwa wa gharama kubwa

  • | K24 Video
    34 views

    Uchaguzi nchini Kenya umeendelea kuonekana kuwa wa gharama kubwa, huku tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) ikikadiria kuwa shilingi bilioni 61.7 zitahitajika kuandaa uchaguzi wa mwaka 2027. Tume hiyo inasema kuwa ukosefu wa imani katika mchakato wa uchaguzi ni mojawapo ya sababu kuu za gharama hiyo kuwa juu