Uchaguzi Sudan Kusini: Maafisa wa tume ya uchaguzi wapokea mafunzo Nairobi

  • | KBC Video
    40 views

    Makamisha wa tume mpya ya uchaguzi nchini Sudan Kusini wako jijini Nairobi kwa mafunzo ya wiki moja ,kutoka kwa maafisa wa tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya,IEBC kabla ya uchaguzi wa nchi hiyo ,ambao umepangiwa kuandaliwa mwezi Disemba mwaka hu.Taifa hilo halijandaa uchaguzi tangu lililpopata uhuru miaka 13 iliyopita kutokana na migogoro ya mara kwa mara ya kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive