Uchaguzi wa baraza la wahariri wa habari nchini waahirishwa

  • | KBC Video
    19 views

    Uchaguzi na mkutano wa kila mwaka wa baraza la wahariri nchini ziliahirishwa kutokana na ukosefu wa idadi ya kutosha ya wanachama. Afisa wa usimamizi wa uchaguzi wa baraza hilo, Sophie Kabiria alisema kuwa mkutano huo haukuwa na idadi inayohitajika ya kutosha ya wanachama kwa minajili ya uchaguzi na mkutano wa kila mwaka ambayo ni thuluthi mbili kuambatana na katiba ya KEG. Baraza kuu litakutana na kutangaza tarehe mpya ya uchaguzi katika muda wa siku 30.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive