Uchunguzi umeanzishwa kwa mauaji ya watu wawili Likuyani

  • | Citizen TV
    458 views

    Uchunguzi umeanzishwa kuhusiana na mauaji ya watu wawili waliodaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi katika kijiji cha Luanda.