11 Sep 2025 1:54 pm | Citizen TV 2,832 views Duration: 3:27 Upasuaji wa maiti ya wakili aliyeuawa hapa nairobi Mathew Kyalo Mbubo unaendelea katika makafani ya lee. Wakili Mbubo alipigwa risasi katika barabara ya langata kwenda magadi jijini nairobi siku ya jumanne.