Udhibiti sekta ya boda boda : Waendeshaji pikipiki wapinga mswada uliopendekezwa

  • | KBC Video
    11 views

    Chama cha kupigania usalama wa wana-Bodaboda humu nchini kimekosoa vikali mswada uliopendekezwa wa kudhibiti shughuli za waendeshaji pikipiki. Mwenyekiti wa chama hicho Kelvin Mubadi amesema umma haukushirikishwa katika kuandaa mswada huo ambao huenda ukaathiri maelfu ya waendesha bodaboda humu nchini. Mubadi ametoa wito wa mazungumzo katika utungaji sera na kumtaka seneta Boni Khalwale kuondoa mswada huo ili kuwe na mashauriano zaidi na washikadau katika sekta ya bodaboda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive