Ufadhili wa Marekani I Serikali: Vikosi vya Kenya kuendela kuhudumu Haiti

  • | KBC Video
    131 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ameondoa hofu kuwa shughuli za kikosi cha usalama cha Kenya kinachodumisha amani nchini Haiti zitakwama kufuatia agizo la Marekani la kusitisha ufadhili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive