Ufisadi Mahakamani I EACC yawachunguza majaji-5 kufuatia malalamishi ya umma

  • | KBC Video
    205 views

    Tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi, EACC, imeanzisha uchunguzi kuhusiana ma maafisa wa idara ya mahakama waliohusishwa na visa vya ufisadi. Mwenyekiti wa tume ya EACC Dr David Oginde amesema uchunguzi huo umeibuliwa na wito wa jaji mkuu Martha Koome wa msako wa maafisa wafisadi kwenye idara hiyo. Kufikia sasa tume ya huduma za idara ya mahakama imepokea malalamishi kuhusu majaji watano wanaodaiwa kuhusika kwenye ufisadi mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive