Ufisadi watajwa kuwa tatizo kubwa katika utawala na demokrasia

  • | K24 Video
    35 views

    Ufisadi umetajwa kuwa tatizo kubwa katika utawala na demokrasia. Katika siku ya pili ya tamasha ya mazungumzo ya umma, vijana wamesisitiza uwajibikaji wa fedha za umma na kushinikiza kujumuishwa kwao katika meza ya maamuzi.