Ufuo wa Isambo Busia: Utalii wa mashua na uvuvi ni vivutio tosha

  • | KBC Video
    2 views

    Ufuo wa Isambo ulioko kwenye kingo za ziwa Victoria ni mandhari ya kuvutia katika kaunti ya Busia. Ufuo huo ni maarufu kwa utalii wa mashua ziwani Viktoria ambapo wawekezaji hujipatia riziki kutokana na safari za mashua, mbali na utazamaji ndege na shughuli za uvuvi. Taarifa kamili ni kwenye makala yetu kuhusu Mandhari ya Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News