Uganda yataka kusitisha uzalishaji wa pombe ya tonto

  • | VOA Swahili
    145 views
    Nchini Uganda, utengenezaji wa pombe ya kienyeji inayojulikana kama tonto unaelezewa ni tishio, chupa za bei rahisi za bia zimewavutia wanywaji wengi, na mamlaka inaingia kupunguza uzalishaji ambao unaonekana kama utengenezaji haramu wa pombe majumbani. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.