Ugonjwa wa maumivu wakati wa hedhi usio na tiba.

  • | BBC Swahili
    360 views
    Endometriosis ni ugonjwa wa maumivu wakati wa hedhi ambao hauna tiba. Huwapata wanawake milioni 190 duniani kote hiyo ni 1 kati ya kila 10 ambao wako katika umri wa kuzaa (WHO). Hata hivyo, muda wa wastani wa kusubiri uchunguzi duniani kote ni karibu miaka 7 na unaweza kuwa miaka zaidi ya hiyo katika sehemu za Afrika. Doris Murimi kutoka Nairobi, Kenya amepitia hali hiyo na hapa anasimulia #bbcswahili #kenya #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw