Ugonjwa wa Saratani ya Mapafu umetajwa kuwaua watu kisiri

  • | Citizen TV
    815 views

    Ugonjwa wa saratani ya mapafu ni moja ya magonjwa yanayoua watu wengi zaidi ulimweguni. Na huku ugonjwa huo ukiwaangamiza wengi nchini Kenya, wasiwasi ni mwingi kuhusu ugonjwa huu kuwaua watu kwa siri kutokana na kuwa si rahisi kuutambua, kuuguza wala kuutibu. Kwa miezi miwili, Nimrod Taabu amekuwa akizungumza na wagonjwa wa saratani ya mapafu na hata wataalam kwenye makala haya maalum