Uhaba wa vyoo Ouagadougou, Burkina Faso.

  • | BBC Swahili
    292 views
    Mhandisi Raymond Kabre anakabiliana na uhaba wa vyoo huko Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso. Raymond amejenga vyoo vitano vipya vya umma huku wenye ulemavu wanaotumia viti vya magurudumu wakitumia bure. Wengine, hutozwa kiasi kidogo ambapo mapato hutumika kujenga vyoo vingine. Lengo lake ni kujenga vyoo 51 vya ziada vya umma ili kuboresha usafi wa mazingira katika jiji zima. #bbcswahili #burkinafaso #usafiwavyoo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw