Uhaba wa wachangiaji damu Tanzania

  • | BBC Swahili
    338 views
    Kulingana na Shirika la Afya Duniani, kila nchi inapaswa kukusanya jumla ya chupa 600,000 za damu. Hata hivyo, malengo haya hayajafikiwa kutokana na ukosefu wa wachangiaji hivyo kuzua tatizo la kudumu. Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau ameandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #uchangiajidamu