Uhaba wa walimu na fedha za shule waathiri masomo Busia

  • | Citizen TV
    143 views

    Washikadau katika sekta ya elimu wametoa changamoto kwa serikali kuu kuangazia masaibu ambayo yanakumba shule za umma yakiwemo kucheleweshwa kwa fedha za kuendesha masomo pamoja na uhaba wa walimu.