Uhalifu mpaka wa Borabu

  • | Citizen TV
    127 views

    Wakazi wa eneo la Borabu lililoko mpakani mwa kaunti ya Nyamira na Bomet wamelalamikia utovu wa usalama kufuatia kukithiri kwa visa vya wizi wa mifugo eneo hilo.