Uharibifu wa mazingira waathiri wakulima wadogo

  • | Citizen TV
    116 views

    Uharibifu Wa mazingira unaosababishwa Na mabadiliko ya tabianchi unabadili Maisha ya wakulima wadogo Na wafugaji.Katika eneo linalokumbwa Na Toshio la wizi Wa ngamia Na ukosefu Wa usalama ,mapinduzi ya kimyakimya yanatokea katika Kaunti ya Isiolo Na Wajir katika eneo la Bulla Gows