Uhusiano wa kidiplomasia baina ya Kenya na China kuimarishwa

  • | KBC Video
    43 views

    Kenya inadhamiria kuimarisha uhusiano wake wa kidiplomasia na Jamhuri ya China, kupitia utamaduni miongoni mwa nyanja mbalimbali .Ushirikiano huo kwa mujibu wa katibu wa utamaduni, sanaa na turathi Ummi Bashir, utatilia mkazo zaidi uhifadhi na urithi wa tamaduni ,kando na kukuza utalii. Bashir alisema haya wakati wa sherehe za mwaka mpya wa Kichina jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive