Ujenzi wa barabara wakwama Kagumo

  • | Citizen TV
    416 views

    Wakazi wa maeneo ya Kagumo eneo bunge la Kirinyaga ya Kati kaunti ya Kirinyaga wamelalamikia kukwama kwa ujenzi wa barabara ambayo ilizinduliwa na Rais William Ruto Miezi Mitano iliyopita.