Ujenzi wa barabara ya Muranga'a kuelekea Nyandarua bado waendelea miaka minne baadaye

  • | Citizen TV
    1,000 views

    Ujenzi wa barabara ya Gatakaini, kaunti ya murang'a kuelekea Njabini kaunti ya Nyandarua ulioanzishwa mwaka wa 2020 ungali unaendelea miaka minne baada ya kuanzishwa.