Ujenzi wa kituo cha afya cha kisasa wazinduliwa katika kijiji cha Nyosia, Kisii

  • | Citizen TV
    86 views

    Wakazi wa kijiji cha Nyosia kule Nyaribari Chache wameelezea wasiwasi wao kuhusu kukwama kwa mradi wa kituo cha afya uliotarajiwa kuanzishwa eneo hilo