Ujenzi wa nyumba wasitishwa Kilimani

  • | Citizen TV
    836 views

    Mamlaka ya usimamizi wa mazingira nchini (NEMA) imeamuru kufungwa mara moja kwa eneo la ujenzi lililo katika barabara ya likoni, eneo la kilimani, jijini Nairobi.