Uji kwa chekechea Zaidi ya wanafunzi elf-13 kunufaika Embu

  • | KBC Video
    19 views

    Zaidi ya wanafunzi elfu-13 katika eneobunge la Mbeere Kaskazini kaunti ya Embu watanufaika na mpango mpya wa lishe shuleni ulioanzishwa na wizara ya elimu ya msingi kwa ushirikiano na baraza la kitaifa la Elimu kwa jamii zinazohama hama-NACONEK.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive