Ujumbe wa papa kwa Wakenya

  • | Citizen TV
    2,528 views

    Kifo cha Papa Francis kimekuwa pigo kubwa haswa kwa wakenya, baadhi ya waumini wakikumbuka ziara yake hapa nchini mwaka wa 2015. Katika ziara hiyo, papa francis aliwataka viongozi kujiepusha na ukabila na ufisadi, na kuungana kuleta taifa pamoja.