Ujumuishaji wa Jamii zilizotengwa

  • | Citizen TV
    142 views

    Mshauri wa rais kuhusu masuala ya jinsia Harriette Chiggai amependekeza kubuniwa kwa idara serikalini itakayoshughulikia masuala yanayoathiri jamii za walio wachache na zilizotengwa. Chiggai anasema kuwa jamii hizo zimeachwa nyuma kimaendeleo na katika nafasi za ajira. Chiggai aidha amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa sera ya kitaifa na sheria thabiti ya kutetea haki za jamii hizo. Serfine Achieng’ Ouma ana maelezo zaidi.