Ukaguzi wa maiti ya Kennedy Onyango aliyepigwa risasi eneo la Rongai

  • | Citizen TV
    1,820 views

    Familia ya kijana wa miaka 12 aliyefariki baada ya kupigwa risasi eneo la Rongai wameendelea kulilia haki siku nne baada ya kufariki kwake. Familia ya kijana huyo Kennedy Onyango iliyozungumza baada ya shughuli ya upasuaji iliyothibitisha kuwa alifariki kutokana na majeraha ya risasi wametaka afisa wa usalama aliyefyatua risasi kukamatwa na kuchukuliwa hatua..