- 482 viewsJeshi la Israel limesambaza kanda ya video Alhamisi ikionyesha majeshi yakifanya mashambulizi huko Ukingo wa Magharibi. Katika taarifa yake jeshi lilisema vikosi vyake “vimefanikiwa kutegua vilipuzi kadhaa ambavyo vilikuwa vimechimbiwa barabarani lengo likiwa vitumike kushambulia majeshi yake. Majeshi ya Israeli yamefanya mashambulizi makali na ya kiwango kikubwa Ukingo wa Magharibu.usiku kucha siku ya Jumanne. Israel inasema mashambulizi hayo yaliyofanyika wakati mmoja kote eneo la kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi – ambayo yamewauwa jumla ya watu 16, karibuni wote wanamgambo, tangu jioni Jumanne – yamelenga kuzuia mashambulizi dhidi ya jeshi hilo. Israel imekuwa ikitekeleza kile imekitaja kama operesheni ya kijeshi karibu kila siku katika Ukingo wa Magharibi, tangu Oktoba 7, wanamgambo wa Hamas walipofanya shambulizi kutokea Gaza na kusababisha vita vikali vinavyoendelea. Israel imesema kwamba operesheni yake ya kijeshi ina lengo la kuwamaliza nguvu wanamgambo wa Hamas na kuzuia mashambulizi dhidi ya raia wake. -AP na Reuters #gaza #ukandawagaza #mateka #israeli #jeshi #voa #voaswahili #qaidfarhanalkadi #hamas #palestina #wapalestina
Ukingo wa Magharibi
- 22 Apr 2025 - Pope Francis died of a stroke, causing a coma and "irreversible" heart failure, according to his death certificate released by the Vatican on Monday.
- 22 Apr 2025 - Nairobi City Thunder (NCT) basketball team has received a major boost ahead of the upcoming Basketball Africa League (BAL) championship, after being assigned a Senegalese NBA G-League player to reinforce the squad. The team is also eyeing continental…
- 22 Apr 2025 - The papacy journey started with St. Peter, he who Christ christened as the rock of the Church.
- 22 Apr 2025 - Tragedy struck on Monday at Loberer area along the Marigat-Chemolingot route in Baringo County, where two people were shot dead and two others injured. The victims were ambushed by suspected bandits while travelling to Nginyang market in a police convoy…
- 22 Apr 2025 - Kenya Chipu aim to defend Barthes Trophy after perfect start
- 22 Apr 2025 - People's Pope signs off, leaving behind a church changed forever
- 22 Apr 2025 - From social justice to tackling abuse: 12 years of Pope Francis
- 22 Apr 2025 - Role of Commissioner for Cooperatives questioned in Kuscco Sh13b saga
- 22 Apr 2025 - Youths dare dream as Nyanza's Junior Golf tourney highlights growth
- 22 Apr 2025 - The inconvenient truth about devolution, the environment