Ukulima wa kahawa ulivyoathirika nchini Tanzania

  • | BBC Swahili
    374 views
    Mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa na athari kubwa kwenye mazao tofauti tofauti kote duniani. Nchini Tanzania mbali na kuathiri mazao ya msimu kama mahindi na maharage, pia yameshusha uzalishaji wa kahawa nchini humo hasa katika ukanda wa nyanda za juu kusini. Watafiti wanasema kuwa zao hilo kwa miaka ya hivi karibuni limezidi kuathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa na magonjwa mbalimbali, hivyo kusababisha mavuno kuwa madogo huku bei sokoni ikiwa chini. Mwandishi wa BBC, @eagansalla_gifted_sounds_ alikuwa mkoani Songwe na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #mazingira #tanzania