Ukumbi | Siasa za Mlima Kenya | Part 1

  • | Citizen TV
    1,666 views

    Rais Ruto alifanya ziara yake ya Mlima Kenya kwa siku tano huku Wadadisi wasema siasa za Mlima Kenya ni telezi.

    Host: Nimrod Taabu

    Wageni Ukumbi 1. Dkt. Allan Mugambi ,Mhadhiri JKUAT 2. John Ka-Wanjiku ,Mbunge Kiambaa 3. Dkt. Peter Mbae ,Aliyekuwa Mkurugenzi GDU 4. Irungu Nyakera , Aliyekuwa mwenyekiti bodi ya KICC