UKUMBI: Ukosoaji wa Serikali Mitandaoni [Part 2]

  • | Citizen TV
    320 views

    Je, kejeli mitandaoni zimevuka mipaka? Waziri wa usalama aahidi kukomesha kejeli mtandaoni Murkomen amewataka polisi kuwakamata wahusika Rais Ruto amelalamikia utovu wa nidhamu mitandaoni Picha za kejeli zimeonekana kuwakasirisha maafisa wa serikali Murkomen amewaonya vijana dhidi ya kuwatusi viongozi