- 53 viewsWashirika wa Marekani barani Ulaya wamempongeza Donald Trump kufuatia ushindi wake mkubwa katika uchaguzi wa urais wa Jumanne licha ya wasiwasi ulioenea kuhusu kile ambacho muhula wake wa pili unaweza kumaanisha kwa uhusiano kati ya Marekani na Ulaya. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Ulaya yampongeza Trump kwa kushinda uchaguzi | VOA Swahili
- 8 Nov 2024 - Pumwani Maternity Referral Hospital has made significant strides in integrating Social Health Authority (SHA) services, enhancing patient access to vital healthcare.
- 8 Nov 2024 - Candidates sitting their Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) exams at Makande Girls Secondary School in Mvita constituency, Mombasa County, were affected by a noxious gas on Thursday morning.
- 8 Nov 2024 - Counties are staring at a serious financial crisis due to an ongoing stalemate between the Senate and the National Assembly in the mediation committee formed to find a common ground on the Division of Revenue (Amendment) Bill.
- 8 Nov 2024 - The National Construction Authority (NCA) has evacuated tenants of a residential building in Kahawa West and cordoned it off after it was flagged over structural concerns.
- 8 Nov 2024 - Environment, Climate Change and Forestry Cabinet Secretary Aden Duale on Thursday launched a Ksh.620 million initiative to restore the Mt. Elgon Forest ecosystem, covering Bungoma and Trans-Nzoia counties.
- 8 Nov 2024 - The family of slain Wells Fargo security company Human Resource Manager Willis Ayieko Onyango is demanding justice following the mysterious death of their kin whose mutilated body was found dumped in a stream in Gem, Siaya County.
- 8 Nov 2024 - Safaricom says it has not provided the KRA with access to the subscriber database, indicating a looming showdown between the taxman and the leading telecommunications service provider.
- 7 Nov 2024 - Detectives have arrested one more suspect in connection to the recovery of a badly mutilated body that was found dumped at Langata cemetery last week.
- 7 Nov 2024 - Thirty one suspects arrested over their alleged involvement in a Ksh.5 million gold scam were on Thursday arraigned and released on a Ksh.1.5 million cash bail or a Ksh.3 million bond each.
- 7 Nov 2024 - President William Ruto has called for global collaboration to end hunger and implement policies and programmes that boost food production to feed the rising populations.