walemavu wa kusikia waitaka serikali kutimiza ahadi yake na kutilia maanani maswala yao

  • | Citizen TV
    136 views

    Huku ulimwengu ukiendelea kuadhimisha mwezi wa hamasisho kwa wasio na uwezo wa kusikia, wanaoishi na hali hii wanaitaka serikali kutimiza ahadi yake na kutilia maanani maswala yao. Haya yakizungumzwa mwaka mmoja baada ya serikali kuzindua mchakato wa kuhakikisha uwepo wa huduma za matibabu na uchunguzi wa masuala ya afya ya masikio.