Ulimwengu wamuomboleza Papa Francis

  • | Citizen TV
    1,515 views

    Ulimwengu umejiunga na waumini wa kanisa Katoliki kumwomboleza kiongozi wa kanisa hilo Papa Francis aliyefariki Jumatatu asubuhi akiwa na umri wa miaka 88. Kifo cha Papa Francis kilijiri siku moja baada ya kuongoza misa ya Jumapili ya Pasaka huko Vatican mwezi mmoja baada ya kuondoka hospitali. Gatete Njoroge anatueleza kuhusu hafla ya mwisho ya papa Francis.