Umeshawahi kuona kitanda kinachotembea kama gari?

  • | BBC Swahili
    906 views
    Basi huko India polisi wamekamata gari la kitanda kwa kutokidhi viwango baada ya video yake kusambaa mtandaoni huko katika mji wa West Bengal. Mmiliki wa gari hilo la kitanda anasema alilitengeneza ili limsaidie kwenda kupata kifungua kinywa akiwa bado amelala kitandani. #bbcswahili #india #ubunifu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw