Umma kuweza kuutazama mwili wa Baba Mtakatifu Francis kuanzia kesho

  • | KBC Video
    215 views

    Mwili wa baba Mtakatifu Francis utakuwa kwenye Kanisa la St. Peter’s Basilica kuanzia kesho ambapo umma utaweza kuutazama. Baba Mtakatifu Francis atazikwa siku ya Jumamosi huku ibada ya Misa ya mazishi ikitarajiwa kuongozwa na Kadinali Giovanni Battista Re, ambaye ni mkuu wa kundi la Makadinali Wa Kanisa Katoliki katika uwanja wa St Peter’s Square huko Vatican.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive