Skip to main content
Skip to main content

Umoja wa Mataifa waitaka Tanzania kuchunguza mauaji yaliyofanywa wakati wa maandamano

  • | BBC Swahili
    24,823 views
    Duration: 7:42
    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk ametaka uchunguzi juu ya mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Ripoti ya Tume hiyo ya Umoja wa Mataifa imesema kwamba kuna ripoti kwamba miili inachukuliwa na vikosi vya usalama na kupelekwa katika maeneo ambayo hayajajulikana. #DiraYaDuniaTV